Majmaa-Ilmi imeadhimisha mazazi ya Mtume (s.a.w.w).

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imeadhimisha mazazi ya Mtume (s.a.w.w) na mjukuu wake Imamu Jafari Swadiq (a.s), maadhimisho hayo yamepambwa na mambo tofauti yanayo endana na tukio hilo tukufu.

Akaongeza kuwa “Hafla imeshuhudia usomwaji wa Qur’ani kutoka kwa msomaji wa Ataba mbili takatifu Husseiniyya na Abbasiyya Sayyid Haidari Jalukhani na mmoja wa wasomaji wa mradi wa tahfiidh unaoendeshwa na Maahadi, sambamba usomwaji wa tenzi na mashairi”.

Akaendelea kusema: “Maahadi imetoa zawadi kwa watumishi wake pembezoni mwa hafla hiyo, ikiwa kama sehemu ya kupongeza utendaji wao katika miradi ya Qur’ani inayoendeshwa na Maahadi, kama mradi wa semina za Qur’ani wakati wa likizo za majira ya kiangazi, visomo vya Qur’ani katika mwezi wa Ramadhani na mradi wa vituo vya Qur’ani katika ziara ya Arubaini na zinginezo”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: