Muheshimiwa Sayyid Sistani kabla ya Adhuhuri ya siku ya Ijumaa, amekutana na wapiganaji menye matatizo ya afya kutokana na athari walizopata kwenye shambulio la kigaidi.
Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani imesema kuwa, Muheshimiwa amepokea wapiganaji walioathiriwa na shambulio la Magaidi wa Daeshi.
Muheshimiwa amepongeza kujitolea kwao na akamuomba Mwenyezi Mungu awape kheri nyingi na baraka tele kataika Maisha yao hapa duniani na keshe akhera awatie peponi kutokana na kazi kubwa waliyofanya ya kulinda taifa, raia na maeneo matakatifu.