Hivi karibuni kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya kimechapisha toleo la ishirini na nne katika machapisho ya (Habari za Maarifu) za kielektronik.
Chapisho hilo hutolewa kila mwezi chini ya ofisi ya elektronik katika idara ya Habari.
Chapisho lina zaidi ya kurasa (55) zinazo eleza harakati zinazofanywa na kitengo cha maarifa na Habari zilizoripotiwa mwezi wa tisa.