Chuo kikuu cha Alkafeel kimetangaza ukomo wa kupokea wanafunzi katika mwaka wa masomo (2023/ 2024m).
Chuo kina vitivo vifatavyo (Udaktari, Udaktari wa meno, Famasiya, Afya na utabibu, kitengo cha maabara, kitengo cha mionzi, kitengo cha uraibu, uhandisi, kitengo cha uhandisi ya kompyuta).
Kwa maelezo zaidi piga namba zifuatazo:
Ofisi ya rais wa chuo: 07601839901 na 07803880900.
Kitengo cha usajili na mambo ya wanafunzi: 07601393393.
Kitengo cha mali: 07601888183.
Kumbuka kuwa chuo kikuu cha Alkafeel kimepewa kibali rasmi na wizara ya elimu ya juu na tafiti za kielimu, kibali namba (J/H/S 187, 1/2/2005).