Watumishi wa Atabatu Abbasiyya wanafanya tukio la kiibada kuomboleza kifo cha Swidiqatu-Twahirah.

Watumishi wa Atabatu Abbasiyya wamefanya tukio la kiibada ndani ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), kuomboleza kifo cha Swidiqatu-Zaharaa (a.s) kwa mujibu wa riwaya ya kwanza.

Tukio hilo ambalo hufanywa Jumanne na Alkhamisi ya kila wiki, limefunguliwa kwa kusoma Ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s), iliyofuatiwa na qaswida na tenzi za kuomboleza, zilizo amsha hisia ya huzuni na majonzi mbele ya kundi kubwa la mazuwaru wa Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: