Idhaa ya Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu inafanya shindano lenye anuani isemayo (Baina ya Dhwaadi na Dhwaau).
Shindano hilo linalenga kuonyesha umuhimu wa lugha ya kiarabu (Lugha ya Dhwaadi), kutakuwa na zawani nono kwa washindi watatu wa mwanzo.