Atabatu Abbasiyya imekamilisha maandalizi ya kongamano la Multaqal-Kafeel awamu ya kwanza.

Atabatu Abbasiyya imekamilisha maandalizi ya kongamano la Multaqal-Kafeel awamu ya kwanza.

Kongamano litafanyika kwenye eneo la chuo cha Al-Ameed na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, kwa lengo la kuangalia maendeleo ya teknolojia katika soko la ajira na kupitia program za kijamii.

Kongamano litafanyika kwa muda wa siku tatu, kuanziata tarehe (30/10/ hadi 1/11/2023m), vitengo tofauti vya Atabatu Abbasiyya vitashiriki kuonyesha uzowefu wao katika sekta ya teknolojia na mitandao.

Kongamano hilo litakuwa na vipengele vingi sambamba na kuandaa mpango kazi utakao unyesha maono ya Ataba tukufu kufuatia maendeleo yanayoshuhudiwa duniani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: