Maombi yatumwe ndani ya siku tatu, kuanzia siku ya tangazo hili.
Fani zinazotakiwa ni:
- 1- Bachela ya sayansi ya viumbe hai.
- 2- Bachela ya afya na matibabu.
- 3- Bachela ya uchambuzi wa maradhi.
Muombaji awe mkazi wa mkoa wa Najafu.
Waombaji watashindanishwa kwa kuzingatia viwango cha chuo kuanzia tarehe (28/10/2023 hadi 31/10/2023m).
Kwa anayependa ajaze fomu ya maombi kupitia link ifuatayo: (https://alkafeel.edu.iq/apply10/).