Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza kipindi cha usajili wa program ya (Masomo endelevu ya Qur’ani), itakayo simamiwa na Maahadi ya Qur’ani tukufu chini ya Majmaa.
Usajili imeanza tarehe (1/11/2023m) hadi (11/11/2023m), kila anayetaka kushiriki ajaze fumu iliyopo kwenye mtandao, kwa maelezo zaidi apige simu namba (07830043988).