Kitengo cha habari kimechapisha toleo la (472) la jarida la Swada-Raudhataini.

Kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya kimechapisha toleo la (472) la jarida la Swada-Raudhataini, linaloandika mafanikio ya Ataba tukufu na harakati za vitengo vyake.

Kurasa nyingi za jarida hilo zimeandika matukio makubwa yaliyofanywa na Atabatu Abbasiyya na ripoti za vitengo na idara, bila kusahau mikutano na makongamano ya kidini na kitamaduni yaliyofanywa.

Jarida la Swada-Raudhatain ndio la kwanza katika historia ya Ataba tukufu, linachapishwa na idara ya Habari chini ya kitengo cha Habari.

Jarida linaandikwa kwa kufuata utaratibu wa kisasa na linakusanya mambo yote muhimu yanayofanywa na vitengo vya Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: