Zimeandaliwa kumbi tatu kubwa zenye uwezo wa kuingia watu (1080), zaidi ya maeneo (50) yameandaliwa na kila moja linauwezo wa kukaa watu zaidi ya themanini, chakula, vyoo na huduma zingine muhimu kwa washiriki.
Watumishi wa jengo hilo wamesema kuwa wameandaa kumbi kubwa, jukwaa kuu, vipaza sauti, televisheni na viti, kwani kutakuwa na mambo tofauti yatakayo fanywa kwenye mahafali hiyo.
Majengo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) ni kituo cha kwanza cha mahafali ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Iraq, baada ya kuwasili wanafunzi wote.