Kitengo cha habari na utamaduni kinashiriki kwenye nadwa ya kielimu inayofanyika katika msikiti wa Kufa.

Kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kimeshiriki kwenye nadwa ya kielimu inayofanyika msikiti wa Kufa kupitia Markazi Dirasaati Afriqiyya.

Mkuu wa Markazi Shekhe Sataar Shimri amesema “Markazi imehudhuria nadwa ya kielimu ambayo hufanywa kila mwezi na uongozi mkuu wa Msikiti wa Kufa na mazaru zilizo chini yake, muhadhara ulikuwa unasema (Kufa baina ya maudhuiyya na matashi) umetolewa na Dokta Maki Kashkuul”.

Akaongeza kuwa “Kuhudhuria kwenye nadwa hii kila mwezi ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano na Ataba zingine pamoja na mazaru takatifu hapa Iraq katika nyanja zote”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: