Hayo yamefanywa wakati wa shindano lenye kauli mbiu isemayo (Juu ya uwelewa wake katika karne za kwanza) linalosimamiwa na kamati ya makongamano na mashindano katika Ataba tukufu chini ya uratibu wa kitengo cha Habari na utamaduni.
Wafuatao ndio washindi wa igizo:
- 1- Ibtihaal Turki Abdul-Hussein – Baghdad/ Iraq.
- 2- Jafari Ali Yaquub – Baharain.
Shindano hili ni sehemu ya kuonyesha utukufu wa bibi Zaharaa (a.s) na msimamo wake katika historia, sambamba na kuendelea kuonyesha nafasi ya Atabatu Abbasiyya katika kutoa mafunzo ya kibinaadamu na kuenzi tunu tulizoachiwa na Mtume Muhammad (s.a.w.w).