Hayo yamefanywa wakati wa shindano lenye kauli mbiu isemayo (Juu ya uwelewa wake katika karne za kwanza) linalosimamiwa na kamati ya makongamano na mashindano katika Ataba tukufu chini ya uratibu wa kitengo cha Habari na utamaduni.
Wafuatao ndio washindi wetu wa igizo:
- 1- Zainabu Nasoro Asadi – Karbala tukufu/ Iraq.
- 2- Haitham Faakhir Hassan Awadi – Karbala tukufu/ Iraq.
- 3- Aqiil Abdullahi Hussein – Diwaniyya/ Iraq.
Shindano hili ni sehemu ya kuonyesha utukufu wa bibi Zaharaa (a.s) na msimamo wake katika historia, sambamba na kuendelea kuonyesha nafasi ya Atabatu Abbasiyya katika kutoa mafunzo ya kibinaadamu na kuenzi tunu tulizoachiwa na Mtume Muhammad (s.a.w.w).