Hayo yamefanywa wakati wa shindano lenye kauli mbiu isemayo (Juu ya uwelewa wake katika karne za kwanza) linalosimamiwa na kamati ya makongamano na mashindano katika Ataba tukufu chini ya uratibu wa kitengo cha Habari na utamaduni.
Igizo lilikuwa na vipengele vingi vinavyo onyesha picha halisi ya malengo na madhumuni ya igizo.
Wafuatao ndio washindi wetu wa igizo:
- 1- Amirah Kaadhim Shaakir – Karbala tukufu/ Iraq.
- 2- Asiya Maajid Abdu-Ali – Dhiqaar/ Iraq.
Shindano hili ni sehemu ya kuonyesha utukufu wa bibi Zaharaa (a.s) na msimamo wake katika historia, sambamba na kuendelea kuonyesha nafasi ya Atabatu Abbasiyya katika kutoa mafunzo ya kibinaadamu na kuenzi tunu tulizoachiwa na Mtume Muhammad (s.a.w.w).