Chuo kimeweka sharti kwa atakaependa kuomba kazi anatakiwa asiwe muajiriwa kwenye chuo kingine au sehemu nyingine yeyote, na awe mkazi wa Najafu.
Waombaji wa kazi watashindanishwa kulingana na vigezo vilivyo wekwa na chuo, maombi yanaanza kupokelewa leo siku ya Jumatatu hadi siku ya Alkhamisi ya tarehe (30/11/2023).
Fani zinazohitajika ni:
- Kemiya – Dokta au Masta.
- Fizikiya – Dokta au Masta.
- Viumbe hai – Dokta au Masta.
- Uhandisi wa komyuta – Dokta au Masta.
Kwa yeyote aliye tayali ajaze fomu kupitia link ifuatayo:
https://alkafeel.edu.iq/apply