Shindano hilo linaonyesha umuhimu wa lugha ya kiarabu, ambayo ndio lugha ya Qur’ani tukufu.
Idhaa imeandaa zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo, ambao ni:
- 1- Ahlaam Hassan Abduljaliil/ mkoa wa Karbala tukufu.
- 2- Nahida Jawadi Kaadhim/ mkoa wa Dhiqaar.
- 3- Janaatu Muhammad Jafari/ mkoa wa Karbala tukufu.
Shindano lilikuwa na washindani (2051) kutoka ndani na nje ya Iraq, majibu sahihi yalikuwa (469) ambayo yalipigiwa kura ili kupata washindi watatu.