Chuo kikuu cha Alkafeel kimeratibu muhadhara wa kielimu kuhusu kinga.

Kitengo cha teknolojia katika chuo kikuu cha Alkafeel kimeandaa muhadhara wa kielimu kwa wanafunzi, kuhunsu njia za kupata kinga.

Muhadhara umetolewa na Zaharaa Zaair Abusi na Ghafrani Jawadi Karim, wamefafanua kuhusu njia za kujikinga na maradhi.

Muhadhara umelenga kuwatambulisha wanafunzi aina tofauti za kujinga na maradhi.

Muhadhara ukahitimishwa kwa kuweka maazimio, miongoni mwa maazimio hayo ni jinsi ya kuimarisha kinga za muili.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: