Kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kimetangaza kufanyika kwa semina ya (Kufafanua ibada ya Hija) awamu ya pili.
Semina hiyo inasimamiwa na Maahadi ya turathi za Mitume chini ya kitengo.
Masomo ya yataanza mwezi 6/ Jamadal-Aakhirah, pia kutakuwa na zawadi kwa mshindi wa kwanza ambayo ni (Kitabu cha historian ya Ahlulbait -a.s-).
Maahadi ya turathi za Mitume inatoa wito kwa kila anayetaka kushiriki ajaze fomu kupitia link ifuatayo:
https://forms.gle/vnnWnwcocMyG1T5R9