Kituo cha utamaduni wa familia kimetangaza kufanyika kwa semina ya misingi ya malezi yenye mafanikio kwa watoto.

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza kufanyika kwa semina ya “Misingi ya malezi yenye mafanikio kwa watoto” itakayofanywa kwa njia ya mtandao.

Semina itajikita kazita kueleza misingi ya malezi kwa watoto na njia bora za kutatua changamoto zao.

Kituo cha utamaduni wa familia hutoa huduma ya ushauri nasaha kwa kufuata mwenendo na misingi ya Ahlulbait (a.s) ili kujenga utulivu wa familia na jamii.

Semina itafanywa siku ya Jumamosi (23/12/2023m, kwa kila anayependa kujisajili au kupata maelezo zaidi ajiunge kwenye grupu maalum la telegram kupitia link ifuatayo.

https://t.me/alecture
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: