Hafla ya kufunga ratiba hiyo imehudhuriwa na rais wa kitengo Dokta Muhammad Hassan Jaabir, ametoa nasaha na maelekezo kwa watumishi wanapokuwa kazini.
Program imehusisha masomo ya kuwajengea uwezo, mashindano, kutembelea malalo takatifu na Maraajii watukufu katika mji wa Najafu.
Kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu kinalenga kuwajenga watumishi kidini na kitamaduni, sambamba na kuimarisha ukaribu baina yao.