Kamati kuu ya kuhuisha turathi katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza semina ya Imamu Swadiq (a.s) ya kuandika tafiti za kielimu katika fani ya majengo.
Semina hiyo itasimamiwa na kituo cha utafiti na uhakiki Swadiqaini chini ya kamati.
Kamati kuu ya kuhuisha turathi imelenga kufanya nadwa, semina, warsha na makongamano ya watafiti katika kusaidia kuhuisha turathi.