Toleo la jarida la kwanza la makumbusho ya Alkafeel linaloelezea elimu ya athari na makumbusho.

Makumbusho ya Alkafeel katika Atabatu Abbasiyya, imechapisha jariba la kwanza linaloelezea elimu ya athari na makumbusho.

Jarida limeandika tafiti nyingi za kielimu, Habari, harakati na ripoti za turathi za kimataifa.

Aidha jarida limendika tafiti maalum ya makumbusho, na mazungumzo ya kitamaduni sambamba na kueleza historia ya ushujaa wa Abulfadhil Abbasi (a.s).

Jarida la makumbusho ya Alkafeel litachapishwa mara mbili kwa mwaka, litaangazia makumbusho na namna ya kulinda turathi za kiislamu na kuandika kuhusu mali-kale za makumbusho.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: