Kitua cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza shindano la kielimu lenye anuani isemayo (Tamani ya Uimamu), ikiwa kama sehemu ya kuomboleza kifo cha bibi Fatuma Ummul-Banina (a.s).
Shindano litadumu kwa muda wa siku tatu, zawadi nono imeandaliwa kwa washindi watatu wa mwanzo.
Washiriki wa shindano hili ni wanawake tu, ambapo wataonyesha uwelewa wao kuhusu Uimamu.