Majmaa-Ilmi imeandaa shindano la swala kwa wanafunzi wa sekondari katika mji wa Baabil.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imeandaa shindano la swala kwa wanafunzi wa sekondari katika mkoa wa Baabil.

Shindano hilo linasimamiwa na Maahadi ya Qur’ani tukufu tawi la Baabil.

Washiriki wa shindano hilo ni wanafunzi wa sokondari kutoka mkoa wa Baabil wapatao 150 na wasimamizi wapo 25, ambapo washiriki wametakiwa kujibu maswali maalum yaliyo andaliwa kuhusu swala, shindano hili linashajihisha vijana kujifundisha swala sahihi.

Maahadi inaendelea kutoa huduma zinazohusu Qur’ani mbele ya wanafunzi wa Baabil, kwa kufanya harakati na miradi tofauti inayolenga wanafunzi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: