Atabatu Abbasiyya imefanya hafla kubwa ya kuadhimisha mazazi ya Bibi Zaharaa (a.s).

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umefanya hafla ya kuadhimisha mazazi ya Bibi Fatuma Zaharaa (a.s) kwa ushiriki wa familia za wakazi wa Karbala.

Hafla imefanywa katika vitalu vya Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya, ilikuwa na vipengele tofauti, kulikuwa na usomaji wa Qaswida na mashairi kutoka kwa Karari Ali na Muhammad Yaasiri.

Kuhusu ngonjera za kidini zimefanywa na Mula Yaasiri Karbalai, Mula Alaa Karbalai na Mula Ali Anbari, muendeshaji wa hafla alikuwa na mshairi Zainul-Aabidina Saidi.

Vipengele vyote vimejikita katika kueleza maisha ya Bibi Fatuma Zaharaa (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: