Idara ya Maqamu ya Radu-Shamsi ya Imamu Ali (a.s) katika mji wa Baabil imekabidhi zawadi kwa jumuiya ya Al-Ameed.

Idara ya Maqamu ya Radu-Shamsi ya Imamu Ali (a.s) katika mji wa Baabil imekabidhi zawadi kwa jumuiya ya Al-Ameed.

Idara ya Maqamu ya Radu-Shamsi ya Imamu Ali (a.s) katika mji wa Baabil, imekabidhi zawadi kwa jumuiya ya kielimu Al-Ameed, kutokana na ushiriki wake kwenye kongamano la kielimu la kimataifa awamu ya tatu.

Zawadi hiyo ni sehemu ya kuonyesha thamani ya mchango wa jumuiya kwenye kongamano hilo, lililokuwa linamuhusu mbora wa wanawake wa ulimwenguni Fatuma Zaharaa (a.s), lililoratibiwa na idara ya Maqamu katika kuadhimisha mazazi ya Fatuma Zaharaa (a.s).

Rais wa Jumuiya Dokta Riyadhu Twariq Kadhim Al-Amidi, ameshukuru heshima waliyopewa na idara ya Maqamu ya Radu-Shamsi, kutoka kwa wasimamizi wa kongamano hilo.

Zawadi hiyo inaonyesha umuhimu wa mchango wa jumuoiya ya Al-Ameed katika jamii ya kielimu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: