Kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kimetangaza kufanya semina za kuwajengea uwezo vijana wa mkoa wa Dhiqaar.
Semina zinasimamiwa na kituo cha Multaqal-Qamaru/ tawi la Dhiqaar chini ya kitengo.
Semina inalenga kujenga uwezo wa vijana katika sekta tofauti kulingana na vipaji vyao.
Semina hii ni muendelezo ya ratiba ya kituo cha Multaqal-Qamaru, inayolenga kujenga uwezo wa vijana.