Atabatu Abbasiyya imetangaza majina ya washindi wa shindano la mazazi ya maimamu wawili Albaaqir na Alhaadi (a.s).

Sharti ya kupokea zawadi, mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla ya kuadhimisha mazazi ya Imamu Muhammad Albaaqir na Ali Alhaadi (a.s), itakayofanywa Atabatu Abbasiyya ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan Almujtaba (a.s).

Hafla itafanywa siku ya Jumamosi (13/01/2024m) saa nane mchana, iwapo mshindi atakuwa na udhuru wa kutohudhuria, atatakiwa afike kwenye ofisi ya mali (wahasibu) ndani ya siku nne akiwa na nyaraka za kumthibitisha (Kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria).

Yafuatayo ni majina ya washindi kumi:

  • 1- Ahmadi Rashidi Shami/ Karbala tukufu.
  • 2- Hussein As’adi Shaalanin Musawi/ Karbala tukufu.
  • 3- Ali Hussein Ahmadi Aalu-Banhaji/ Dhiqaar.
  • 4- Ali Ridhwa Badru Hashimi/ Baghdad.
  • 5- Murtadha Razaaq Diwani Hamadani/ Najafu Ashrafu.
  • 6- Muhandi Sataar Jabaar Ibrahimi/ Dhiqaar.
  • 7- Khairiyya Hatu Hashim Shawili/ Baghdad.
  • 8- Zainabu Abdullah Khalfu Hawizi/ Dhiqaar.
  • 9- Sara Jabaar Twaahir Yaasir/ Baghdad.
  • 10- Fatuma Waali Sayyid Karim Kaabi/ Baghdad.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: