Idhaa ya Alkafeel inaendesha shindano la (Hoja za Rahmaan).

Idhaa ya Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya, inaendesha shindano la (Hoja za Rahmaan).

Shindano hilo linaenda sambamba na maadhimisho ya kuzaliwa maimamu wawili Muhammad Albaaqir na Ali Alhaadi (a.s), kutakuwa na zawadi nono kwa washindi watatu wa mwanzo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: