Atabatu Abbasiyya imetangaza majina ya waliofaulu kwenye shindano la kitamaduni kuhusu kumbukumbu ya kuzaliwa Imamu Ali (a.s).

Atabatu Abbasiyya imetangaza majina ya washindi wa shindano la kitamaduni kuhusu mazazi ya kiongozi wa waumini Ali (a.s).

Sharti la kupokea zawadi, mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla itakayofanywa katika uwanja wa mlango wa Qibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s) siku ya Jumatano (24/1/2024m) sa wana mwezi (12 Rajabu 1445h) saa moja jioni.

Iwapo mshindi atapata udhuru wa kutohudhuria, atatakiwa kufika kwenye ofisi za mali (wahasibu) ndani ya siku nne toka kutangazwa kwa matokeo, akiwa na kitambulisho cha taifa au hati ya kusafiria.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: