Kituo cha utamaduni wa familia kinatoa wito kwa waandishi wa kike washiriki kuonyesha ubunifu wao katika kumbukumbu ya kifo cha Imamu Alkaadhim (a.s).

Kituo cha utamaduni wa familia chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetoa wito kwa waandishi wa kike washiriki kuonyesha ubunifu wao katika kumbukumbu ya kifo cha Imamu Alkaadhim (a.s).

Kituo kimetoa wito wa kuandika katika jambo lolote la kielimu, kwa lengo la kuomboleza kifo cha Imamu Alkaadhim (a.s).

Kwa kila anayependa kushiriki tunaomba atumie link ifuatayo.

https://forms.gle/ennXvc1VXS7MYoPh7
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: