Atabatu Abbasiyya imetoa zawadi kwa washindi wa shindano la kuzaliwa kwa Imamu Zainul-Aabidina (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imetoa zawadi kwa washindi wa shindano la kitamaduni lililofanywa wakati wa kuadhimisha kuzaliwa kwa Imamu Zainul-Aabidina (a.s).

Washindi hao wamepatikana kutokana na shindano la kimataifa la (Mtu anaefanana zaidi na Mtume -s.a.w.w- la mashairi, lililofanywa katika Atabatu Abbasiyya/ ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan Almujtaba (a.s) chini ya kitengo cha Habari na utamaduni na kauli mbiu isemayo (Uzuli wa Twafu hauishi), na kuhudhuriwa na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu, viongozi wa Dini, viongozi wa sekula na washairi walioshinda.

Zawadi zimekabidhiwa na makamo rais wa kitengo cha makumbusho ya Alkafeel Dokta Shauqi Mussawi na makamo rais wa kitengo cha Habari na utamaduni Sayyid Ridhwani Salaami.

Jumla ya washiriki wa shindano hilo walikua (3930), majibu sahihi (1884) na majibu yasiosahihi (2046), majina ya washindi kumi yamepatikana baada ya kupiga kura, ambayo ni:

  • 1- Bahaau Hussein Naaswiru-Dini/ mkoa wa Dhiqaar.
  • 2- Haidari Ali Hussein Aswibahi/ mkoa wa Dhiqaar.
  • 3- Abbasi Tofiq Jaasim Dhwalimi/ mkoa wa Najafu.
  • 4- Abbasi Ali Hussein Ghazawi/ mkoa wa Misaan.
  • 5- Ali Muhammad Dhwahir Akiliy/ mkoa wa Baghdad.
  • 6- Muthanna Abdunnadi Harizi-Dabi/ mkoa wa Dhiqaar.
  • 7- Ruqiyya Abdul-Aali Abdul-Hessein Alkinani/ mkoa wa Najafu.
  • 8- Zaharaa Salmaan Jahanabakhash Kaki/ mkoa wa Diyala.
  • 9- Salama Maliki Zawidi Ibrahimi/ mkoa wa Dhiqaar.
  • 10- Kauthar Ali Abudi Ma’maari/ mkoa wa Baghdad.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: