Chuo kikuu cha Alkafeel kinahuisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imamu Mahadi (a.f).

Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya hafla ya kuadhimisha mazazi ya Imamu Mahadi (a.f).

Wasimamizi wa hafla hiyo ni kitengo cha maabara chini ya kitivo cha teknolojia ya afya na matibabu katika chuo.

Hafla imehudhuriwa na mkuu wa kitivo Dokta Fadhili Ismail Sharadi, wasaidizi wake, marais wa vitengo, kamati ya walimu na wanafunzi.

Mkuu wa kitivo ametoa pongezi kufuatia mnasaba huo, akabainisha undani wa utii na mapenzi kwa Mtume (s.a.w.w) na Maraajii-Dini, sambamba na kueleza utukufu wa Imamu Mahadi (a.f) kwani yeye ndio hoja ya Mwenyezi Mungu katika ardhi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: