Mahafali imedumi kwa muda wa siku mbili na ilikua na washiriki (3000) kutoka mikoa 15.
Mahafali imepambwa na kiapo cha ahadi na matembezi baina ya Ataba mbili Husseiniyya na Abbasiyya, halafu ikahitimishwa kwa ratiba ya jioni iliyokua na ujumbe wa muhedhimiwa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya Pamoja na kipengele cha mashairi na tenzi.
Pembezoni mwa mahafali hiyo Ataba tukufu imetoa zawadi kwa baadhi ya familia za mashahidi na walimu.