Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumanne ya kesho ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumanne ya kesho tarehe 12 – 03 – 2024 ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1445h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: