Atabatu Abbasiyya imetangaza ratiba ya utoaji wa zawadi ya Swidiqul-Akbaru

Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza ratiba ya utoaji wa zawadi ya Swidiqul-Akbaru.

Ratiba hiyo inajumuisha mashindano ya kilugha yanayohusu kiongozi wa waumini Ali bun Abu Twalib (a.s).

Kutakuwa za zawadi za mashindano sita, ambayo ni (Shindano la muandishi bora, shindano la riwaya za kilugha, shindano la kisa kifupi, shindano la ujumbe wa igizo, shindano la mashairi, shindano la hati za kiarabu).

Mashindano yanalenga kushajihisha sekta ya uandishi katika mambo yanayohusiana na Imamu Ali bun Abu Twalib (a.s) na kufafanua nafasi yake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: