Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel chini ya kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, imefuturisha mkutano wa vijana.
Mkutano wa kila wiki katika mwezi wa Ramadhani ni fursa ya kujenga mawasiliano na ushirikiano baina yao sambamba na kuendeleza vipaji vyao.
Mkutano wa kila wiki huwa na vipengele tofauti, unalenga kuendeleza elimu ya Qur’ani na vipaji vya kijamii, Pamoja na kuwashajihisha kushiriki kwenye shughuli za kijamii.