Usomaji wa Qur’ani katika mwezi wa Ramadhani awamu ya kumi, umeshuhudia ushiriki wa wanafunzi wa Dini.
Wanaosimamia usomaji wa Qur’ani katika Atabatu Abbasiyya ni Majmaa-Ilmi kupitia Maahadi ya Qur’ani tukufu katika mji wa Karbala.
Usomaji wa Qur’ani ndani ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), umeshuhudia ushiriki wa wanafunzi wa Dini na walimu wa vyuo vikuu vya Iraq.
Majmaa-Ilmi katika mwezi huu wa Ramadhani inaratiba mbalimbali inazosimamia, ikiwemo hii ya kusoma Qur’ani inayodumu kwa muda wa mwezi mzima wa Ramadhani.