Majmaa-Ilmi imetangaza semina maalum ya Qur’ani.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imetangaza semina ya Qur’ani kwa wavulana.

Semina imepewa jina la (Usherehesaji wa kitabu cha alifu na kutambua misingi yake kwa mujibu wa Abu Amru Daani), mkufunzi wa semina hiyo ni Dokta Karim Zubaidi, kutoka Maahadi ya Qur’ani tukufu katika mji wa Najafu chini ya Majmaa.

Semina itaanza tarehe (21/04/2024) saa tatu jioni, itafanyika siku za Jumapili na Jumatano kila wiki katika mkoa wa Najafu mtaa wa -Hananah- kwenye ofisi za Maahadi.

Kujisajili katika semina hiyo fika katika ofisi za Maahadi au piga simu namba (07848278013).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: