Kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya kimechapisha toleo la thelathini na moja la (Habari za maarifa) kwa njia ya mtandao.
Toleo hilo limeandika harakati za kitengo cha maarifa na mafanikio yaliyopatikana katika mwezi wa nne – 2024m.
Chapisho la (Habari za maarifa) hutolewa kila mwezi kwa njia ya mtandao, chini ya idara ya Habari za maarifa katika kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu.