Atabatu Abbasiyya tukufu imetuma salam za rambirambi kwa jamhuri ya kiislamu ya Iraq na raia wake kufuatia kifo cha Hujjatul-Islami wal-muslimina Sayyid Ibrahim Raisi Rais wa nchi hiyo na wenzake, kilicho tokea kutokana na ajali ya Helkopta waliyokua wamepanda.
Mwenyezi Mungu awape subira wanafamilia wao na awalipe kwa subira zao malipo makubwa.
Mwenyezi Mungu awarehemu na kuwaweka mahala pema peponi.
Hakuna hila wala nguvu ispokua ni Mwenyezi Mungu mkuu, sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.