Alamah Sayyid Ahmadi Swafi amemtembelea Ayatullah Shekhe Bashiru Najafi kumjulia hali ya afya yake.

Muheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi amemtembelea Ayatullah Shekhe Bashiru Najafi kumjilia hali ya afya yake.

Sayyid Swafi amewataka watu wamuombee dua kwa Mwenyezi Mungu muheshimiwa Shekhe Bashiru Najafu ili apone haraka na apate afya njema.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: