Kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya kimeshapisha toleo la thelathini na mbili la (Habari za maarifa) kielektronik.
Tolea hilo limeandika harakati za kitengo cha maarifa na mafanikio yake katika mwezi wa Mei – 2024.
Chapisho la (Habari za maarifa) lipo kielektronik na hutolewa kila mwezi chini ya idara ya Toghut katika ofisi ya Habari za maarifa kwenye kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu.