Makamo rais wa kitengo Sayyid Hadi Mahdi Muhammad amesema “Watumishi wetu wamejiandaa kupokea mazuwaru wa siku ya Arafa na Idul-adh-ha”, akasema “Tumeandaa sehemu maalum kwa ajili ya swala na dua”.
Akaongeza kuwa “Maandalizi yamehusisha uwekaji wa maji safi ya kunywa, juisi na gari maalum za kubeba taka”.
Kitengo hutoa huduma zinazorahisisha ufanyaji wa ziara na ibada zingine.