Masharti ya kushiriki kwenye shindano hilo ni:
- 1- Mshiriki lazima awe mwanamke.
- 2- Umri wa mshiriki usiwe chini ya miaka kumi na nne.
- 3- Hairuhusiwi mtu mmoja kushiriki kwa zaidi ya jina moja.
- 4- Hairuhusiwi kwa mshiriki kukopi majibu kutoka kwa mtu mwingine, inaruhusiwa kushirikiana kutafuta jibu sahihi kwenye vyanzo vyake.
- 5- Mwisho wa kupokea majibu ya washiriki ni mwezi 16 Dhulhijjah, iwapo majibu yatagongana itapigwa kura na kutangazwa majina ya washindi siku hiyohiyo.