Katika kuadhimisha Idul-Ghadiir.. chuo kikuu cha Alkafeel kinatoa huduma kwa mazuwaru wa malalo ya Imamu Ali (a.s).

Chuo kikuu cha Alkafeel kinahudumia mazuwaru wa malalo ya Imamu Ali (a.s) katika kuadhimisha sikukuu ya Idul-Ghadiir mkoani Najafu.

Miongoni mwa huduma wanazotoa ni, ugawaji wa maji na juisi baridi.

Maukibu ilianza kutoa huduma mwezi 17 Dhulhijjah hadi mwezi 18.

Chuo kikuu cha Alkafeel hutoa huduma mbalimbali kwa mazuwaru kwenye kila tukio la kuadhimisha Ahlulbait (a.s) katika mji wa Najafu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: