Kamati kuu ya kuhuisha turathi inafanya majlisi ya kumbukumbu ya mazishi ya miili mitakatifu

Kamati kuu ya kuhuisha turathi katika Atabatu Abbasiyya, imefanya majlisi ya kumbukumbu ya mazishi ya miili mitakatifu mwezi kumi na tatu Muharam.

Majlisi imeratibiwa na kituo cha Shekhe Tusi cha tafiti na uhakiki chini ya kamati.

Mzungumzaji walikuwa ni Sayyid Ammaar Aalu-Yushaa mbele ya wahakiki na watumishi wa kituo, ameongea kuhusu umuhimu wa kushikamana na misingi ya Imamu Hussein (a.s), ambapo ni lazima kumtambua Imamu Hussein (a.s) na kumfanya kuwa kigezo chetu katika maisha.

Kituo cha Shekhe Tusi cha tafiti na uhakiki huadhimisha matukio ya kidini yanayohusu Ahlulbait (a.s) na masaaibu yao, kwa lengo la kuhuisha mambo yao (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: