Kituo cha utamaduni wa familia kimeandaa ratiba ya kitamaduni kwa wanawake wa Baghdad.

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya, kimeandaa ratiba ya kitamaduni kwa wanawake wa kitongoji cha Sha’alah mkoani Baghdad.

Ratiba hiyo imepewa jina la (Uwanja wa utamaduni) na (Msimu wa kutambua utamaduni), imeendeshwa katika Husseiniyya ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika kitongoji cha Sha’alah.

Ratiba hiyo ni maalum kwa wanawake walezi wa familia na wanafunzi wa sekondari (upili), wamefundishwa malezi bora kwa watoto na hukumu za Dini.

Ratiba inalenga kujenga uwezo wa mambo ya kitamaduni kwa washiriki, kujenga uwelewa wa malezi bora kwa watoto na kutambua hukumu za Dini.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: