Idhaa ya Alkafeel katika Atabatu Abbasiyya imetangaza matokeo ya shindano la Sayyid Albaakiin (a.s).
Baada ya kupiga kura kwa wenye majibu sahihi, wamepatikana washindi watatu ambao ni:
Bi, Israa Abdu Ali Jaabir/ Waasit.
Bi, Shukrani Muhammad Swalehe/ Dhiqaar.
Bi, Ummul-Banina Faalih Karim/ Muthanna.
Uongozi wa Idhaa unawaomba waliotajwa hapo juu, wafike katika ofisi za Idhaa ya Alkafeel iliyopo kwenye jengo la kituo cha Swidiqatu-Twahirah (a.s) ghorofa ya tano, barabara ya Mulhaq jirani na jengo la Swahibu Zamaan (a.f) mkabala na mtaa wa Al-Usrah, kuchukua zawadi zao.
Shindano hilo linalenga kujenga uwelewa wa kumtambua zaidi Imamu Zainul-Aabidina Ali bun Hussein (a.s).